Advertisement

MILIKI2

JE UNATAMANI KUWA NA USO WA KITOTO(BABY FACE)

 ๐ŸŒบJINSI YA KUWA NA USO WA KITOTO (BABY FACE)๐Ÿ‘ถ๐Ÿผ๐Ÿ‘Œ๐Ÿผ๐ŸŒบ

๐Ÿ’—Njia hii hung'arisha USO wako kila siku utakapotumia na uso wako utakuwa wa kitoto zaidi kadri unavyotumia. Pia husaidia kuondoa MADOA, CHUNUSI, MIKUNJO na MAKUNYANZI usoni.

๐ŸŒบMAHITAJI

๐Ÿ‘‰Unga wa mchele vijiko viwili( 2 )

๐Ÿ‘‰Juice ya nyanya vijiko viwili ( 2 )

๐Ÿ‘‰Limao  vijiko viwili ( 2 ) {kama hauna chunusi usiweke}

๐Ÿ‘‰Asali kijiko kimoja ( 1 )

๐Ÿ‘‰Vitamin E vidonge viwili ( 2 )


๐ŸŒบJINSI YA KUTUMIA

Chukua mahitaji yako yote changanya pamoja kisha koroga vizuri upate mchanganyiko uliochanganyika vizuri.


Then paka kwenye uso safi taratibu kwa kumassage kwa dk 2 kisha kaa nayo lisaa 1 nawa usoni.


Inafaa kwa ngozi aina zote na unaweza ukatengeneza mwingi ukapaka kila siku na kuweka kwenye friji ukatumia kama siku 5 au wiki hv then tengeneza upya.


❌KAMA UNATUMIA CREAM USIJISUMBUE KUTUMIA HII NJIA LABDA UACHANE NAZO NDO UTUMIE HII.

๐Ÿ‘‰NA MNAOTUMIA TUBE ACHENI MAANA HICHO KITU HATA DAKTARI AKIKUPA ANAKUAMBIA KABISA TUMIA ILA UKIPONA ACHA BUT NASHANGAA WATU NDO WANAFANYA MAFUTA YAO NAKUTUMIA MIAKA NA MIAKA BILA KUJUA KITAKACHOWATOKEA BAADAE.

Post a Comment

0 Comments