Advertisement

MILIKI2

JE UNATAKA KUWA HANDSOME BOY?

 

HATA WEWE UNAWEZA KUWA HANDSOME BOY KWA KUFUATA HAYA




Wengi wanatamani kuwa na muonekano mzuri ili wawavutie watu wanaowazunguka katika maisha,inawezakana kuwa hivvo.Fuata yafuatayo

1.Nunua nguo zinazoendana na mwili wako
2.Fanya mazoezi ili kutengeneza misuli ya mwili wako
3.Nyoa vizuri nywele zako
3.Kula vizuri ili kutengeneza afya yako na kuwa na ngozi nzuri

Post a Comment

0 Comments