Advertisement

MILIKI2

JE UNASUMBULIWA NA MAJIPU?



WATU wengi wamekuwa wakisumbuliwa na majipu lakini hawajui namna ya kuyatibu, baadhi hutibu kwa kutumia antibiotic lakini unaweza kutumia Moja ya Njia hizi CHINI na ukapona kabisa.....


CREAM YA MAZIWA

Cream ya maziwa pia inatajwa kuwa tiba nzuri, unachotakiwa ni kuichanganya na siki ya tufaha au limao na bizari ya manjano, chemsha kisha acha mchanganyiko upoe baada ya hapo paka eneo linalouma.


KITUNGUU MAJI

Chukua kitunguu maji kikatekate vipande kisha kisugue taratibu kwenye jipu, unaweza kufanya zoezi hilo mara tatu mpaka nne kwa siku utaona matokeo.


YAI

Chukua ute mweupe wa yai, upake eneo lililo na jipu kisha funga na bandeji, nayo ni tiba nzuri sana.
kutibu mwenyewe nyumbani na ukapona kwa kutumia tiba  asili kama hizi.

Post a Comment

0 Comments