Advertisement

MILIKI2

MAFUTA MAZURI SANA KWA AJILI YA NYWELE ZAKO

 

1: Olive Oil

Oliver Oil ni fantastic conditioner kwa nywele , lakini pia kuna mengi ya ziada kwenye mafuta haya kwenye utunzaji wa nywele pia ni moja ya mafuta ambayo hukuza nywele sana na ni mazuri kwa kumoisturize 

yana inflammatory properties ambayo ina promote scalp health na yanazuia Mba 

Extra virgin olive oil pia yana level kubwa ya mono - unsaturated fat acid na vitamin E ambavyo ni muhimu sana katika ukuzaji wa nywele pia hayaa allergies unaeza kutumia kwenye ngozi pia




2:Coconut Oil

Haya ndio my best oil of all kwa sababu huwa natumia kwenye ngozi na kwenye nywele 

Mafuta ya nazi ni antibacterial, antifungal na antiviral kwa sababu yana medium chain ya fatty acid na Laurin acid 

Treatment ya mafuta ya nazi inazuia nywele kukatika kama utatumia kabla na baada ya kuosha nywele 

yanasaidia sana kuweka protein katika nywele ambayo inasaidia kuipa nywele nguvu wakati unapoosha kwa sababu mara nyingi unapoosha nywele huwa inapoteza protein kwa hyo kupaka mafuta ya nazi kabla ya kuosha nywele inasaidia kupunguza nywele kukatika 



3: Black Castro Oil 

Black Castro Oil yanaongeza nywele kukua na yana controls nywele kukatika

yana fight scalp infections and dandruff 

Reduces split end

kutumia kama conditioner ya asili na moistures paka Castro Oil kabla ya kuosha nywele na kaa nayo kwa dakika 5

pia unaweza kuchanganya Castro Oil kwenye leavs in conditioner na ukapata kwenye nywele au ukachanganya Aloe Vera gel, Asali na Lemon na kupaka vyote kwa pamoja kwenye nywele na kuacha kwa nusu saa kabla ya kuosha 

Kwa wale wenye nywele za kukatika mbele paka haya mafuta asubuh na jioni 


4: Ovacado Oil 

Ovacado Oil ni an effective moisturiser kwa watu wenye dry hair na wale wenye nywele zilizo katika 

Mafuta ya Ovacado yana vitamin A, B, D, na E ambavyo vinafanya nywele kuwa na afya pia yana protein , Amino acids, Iron ,Copper, magnesium na folic acid vyote hivi vinasaidia nywele kukatika


Mara nyingi usinunue mafuta ya nywele kwenye maduka ya urembo huwa wanauza expensive halafu yanakuwa sio pure virgin oil nunua kwenye maduka ya vyakula kama super market utapata mengi na kwa bei rahisi pia ni Extra virgin

Post a Comment

0 Comments