Advertisement

MILIKI2

JE UMECHOSHWA NA NYWELE ZISIZOKUA???? JARIBU HII👇👇

 Kama walivyo wahanga wengine namimi nilikuwa nimechoka kabisa… nywele zangu hazikui, zinakatika na zinaonekana dhaifu 😔

Nilijaribu bidhaa nyingi, lakini hakuna iliyotoa matokeo niliyotaka…

Kama unavyojua mtu ukiwa na uhitaji wa kitu unaharibu Kila unachokisikia ....

Siku moja nikasikia kuhusu kitu kidogo sana… maji ya karafuu ✨



Mwanzoni sikuiamini sana, lakini nikaamua kujaribu. Nilichofanya ni rahisi tu—nikaweka karafuu kwenye maji, nikaacha kwa siku moja… na kuanza kutumia kwenye nywele zangu kila siku.

Nilihakikisha maji yanafika kwenye mizizi ya nywele, kisha nafanya massage kidogo… halafu namaliza  Kwa mafuta ya nazi 🥥

Siku za mwanzo sikuona mabadiliko makubwa… lakini sikukata tamaa. Niliendelea kutumia kwa wiki mbili mfululizo…

Na hapo ndipo nilipoanza kuona tofauti 😍

Nywele zikaanza kuwa na nguvu, kukatika kupungua… na taratibu zikaanza kuongezeka urefu!

Nikagundua kuwa siri si tu kutumia… bali ni consistency na kutumia kwa usahihi 🔥

Tangu hapo, maji ya karafuu yamekuwa sehemu ya routine yangu ya nywele. Ni rahisi, ya asili na inafanya kazi kweli 💁🏽‍♀️✨

Nawewe kama unatamani matokeo kama yangu bonyeza video hii hapa chini👇👇👇👇


Unaweza pia kujifunza kusuka kupitia video hii 👇👇


Post a Comment

0 Comments