Habari nzuri kwa warembo wote na Kwa wale wanaopenda kutunza ngozi Yao
   

Leo tutaangalia jinsi ya kufanya ngozi ya uso kuwa NYORORO Kwa kutumia mchaichai 


Zoezi hili utalifanya mara moja au mbili kwa wiki tu na kujionea matokeo mazuri na yenye kupendezaaaa 

Bonyeza hapa chini kutazama 👇👇👇👇