Hello........Je umekua ukitamani kupata muonekano wa kistaa????

Leo tumekuletea jinsi ya kufunga Mkia wa farasi (ponytail) kwa urahisi sana.... hata kwa wewe ambae huna idea ya wapi pa kuanzia hii video ni kwa ajili yako....

Pia utajifunza jinsi ya kutengeneza babyhair madoido

Bonyeza hapa chini kutazama 👇👇👇