Advertisement

MILIKI2

JIFUNZE KUTUNZA NYWELE UKIWA NYUMBANI

 Kama unahitaji nywele zako kurefuka na kujaa unatakiwa uzitunze Kwa kuzifanyia mambo Mbalimbali 

Mfano 

 kama nywele zako hazina dawa usiziache BILA kuzisuka zaidi ya siku Moja

Badilisha mitindo ya kusuka kila baada ya siku tano

Pendelea kusuka nywele za mkono zaidi

Epuka nywele za kuunganisha mara Kwa mara mfano crochet au Rasta za mtindo wa kuvuta sana 

Uzi ni kitu kizuri Kwa ajili ya kukuza nywele zako

KAMA NYWELE ZA DAWA

Epuka kuweka gel Kwa muda mrefu kwenye nywele zako 

Hakikisha unaosha nywele zako kila baada ya wiki

Pendelea kutumia mafuta ya maji sana

Ikitokea umesuka,suka mitindo ambayo haivuti sana Kwa maana nywele za dawa huwa ni nyepesi sana 

Badilisha mitindo ya KUBANA mara Kwa mara na miongoni mwa mitindo ni kama ifuatayo:-





Post a Comment

0 Comments