Advertisement

MILIKI2

🦋JINSI YA KUNG'ARISHA NGOZI YA USO UWE SOFT KAMA KATOTO 🦋

Je unataka kuwa na ngozi laini na ambayo Haina mikunjo???



Fanya hivi 👇👇👇

🦋MAHITAJI

👉Vaseline ya mgando kijiko 1 kidogo

👉Kiini cha yai (egg york) 

Osha uso wako na vizuri Kisha chukua Vaseline weka kwenye chombo halafu chukua yai utoe kiini pekee uweke kwenye chombo uchanganye vizuri kabisa na Vaseline kama dk 1-2 na baada ya hapo pakaa usoni kwa kujimassage vizuri uso mzima na ukimaliza kaa na mchanganyiko usoni kwa dk 30 kisha nawa kwa maji safi ya Uvuguvugu (usitumie sabuni❌)


FANYA HIVI KWA WIKI MARA 2 NA NDANI YA WIKI HIYO MOJA UTAONA UTAKAVTO SHINE SASA IMAGINE BAADA YA MWEZI UTAKUAJE😘😘😘😘

Pia Kwa masuala Mbalimbali ya NYWELE waweza tazama👇👇👇



Post a Comment

0 Comments