🌀 Faida chache za za karafuu:!! kunywa karafuu iliyochemshwa
Au tafuna karafuu mbili asubuhi na kunyonya maji yake,
Likiwa tumbo tupu ...
Na utahisi kitu cha kushangaza na wakati, kama vile:
🔹️ kurejesha Kumbukumbu,
🔹️kuimarisha moyo.
.🔹️ Kusafisha kifua na koo, kuondoa kikohozi,
🔹 ️ kuimarisha Viungo vyako.
🔹 ️ Kusafisha utumbo na tumbo dhidi ya vijidudu na bacteria
🔹️ Mdomo wako kuwa nadhifu na msafi na kuwa harufu nzuri
🔹 ️ Hakuna matatizo kwenye ini, wengu, na figo
.🔹 ️ Kuboresha macho.
🔹 ️ hutibu koo na tonsils
🔹 ️ inapunguza sukari na shinikizo la damu la juu
🔹️Inatibu maumivu ya viungo. .Kinga ni bora kuliko tiba.
Pia waweza tazama JINSI ya kutumia karafuu katika kukuza NYWELE👇👇👇👇
Pia waweza tazama 👇👇👇👇
0 Comments