Advertisement

MILIKI2

UNATAKA KUKUZA NYWELE ZAKO BILA KUHANGAIKA? TUMIA JUISI HIZI UFURAHIE MATOKEO MAZURI

 

KAMA una tatizo la nywele zako kutokuwa vizuri au kukatika kwa nywele zako, unaweza kuzikuza na kuziweka sawa kwa kutumia juisi hizi ambazo unaweza kutengeneza mwenyewe nyumbani.


JUISI YA KWANZA







Nusu tango, karoti 5 kubwa, tufaha moja kisha saga kunywa utaona jinsi nywele zako zitakavyokuwa fasta.


JUISI YA PILI



Juisi nyingine ni mcha-nganyiko wa robo tango, karoti kubwa 4 na nyanya, saga kisha kunywa, hii itakusaidia kwani inakuza nywele kuanzia kwenye mizizi.


JUISI YA TATU





Juisi nyingine ni ya nusu kiazi damu, karoti 5 kubwa na nusu tango moja, saga kisha kunywa.


Kunywa juisi hizi kwa wiki mara mbili kama unao uwezo ingawa kama unaweza kupata matunda haya kunywa hata kila siku iwe sehemu ya mlo wako, itakusaidia kukuza nywele


Pia unaweza kutazama KUKUZA NYWELE Kwa viungo ulivyonavyo jikoni kwako 

Bonyeza picha HAPA CHINI 👇👇👇👇 kutazama 





Post a Comment

0 Comments