Advertisement

MILIKI2

JE UNAUFAHAMU UWATU? TUMIA KUKUZA MAKALIO

 Kwa kutumia mbegu za UWATU unaweza kuamsha misuli ya sehemu yoyote ya mwili unayohitaji iwe MAKALIO, hips au matiti

🌺MAHITAJI 



👉Unga wa uwatu 


👉Maji


Changanya unga wa uwatu na maji kiasi kinachokutosha siku hiyo na mchanyanyiko usiwe mwepesi sana wala mzito sana then pakaa kwenye sehemu unataka misuli iamshwe iIi pakue kama ni hips, matiti, miguu au makalio na uchue  hiyo sehemu Kwa dk 10 then kaa saa 1 au 2 unawe.


Fanya hivi kwa siku ukiweza mara mbili mpaka utakaporidhika na matokeo🌚

Unapoongeza shepu usisahau KUKUZA na NYWELE 

Nywele ndefu zinaleta mvuto mkubwa sana Kwa mwanamke

Bonyeza HAPA CHINI kutazama 👇👇


Pia waweza tazama



Post a Comment

0 Comments