Advertisement

MILIKI2

SIMAMISHA MATITI YALIYOLALA KWA NJIA YA ASILI


maziwa

Wadada na Wanamama wengi wamekuwa wakihangaika kwa muda mrefu kutafuta ufumbuzi wa kusimamisha matiti yaliyolala pasipokujua kwamba zipo njia salama za asili za kutatua changamoto hiyo.

Kwa uchunguzi mdogo uliofanywa na ASILI ZETU umegundua kwamba idadi kubwa ya Wanawake hupata changamoto ya matiti kulala baada ya kujifungua na kupitia hatua ya kunyonyesha.

Pia zipo sababu nyingine mbali na hiyo tuliyotaja ambayo huweza kupelekea Matiti ya Mwanamke kulala. 



SABABU ZA MATITI KULALA

  • Afya kuwa mbovu
  • Kuzaa au kupata Mimba
  • Kurithi

NJIA ZA KUSIMAMISHA MATITI

  • Kwa kutumia yai, Vitamin E na Mtindi

MAHITAJI

  • Yai bichi moja au mawili
  • Mtindi robo lita
  • Vitamin E : Mafuta ya Alizeti robo lita

MAANDALIZI

  • Chukua ute wa yai moja bichi kisha changanya na robo lita ya mafuta ya alizeti, Koroga vizuri huo mchanganyiko kwa dakika 10 na hapo utakuwa tayari kwa matumizi.


MATUMIZI

  • Pakaa huo mchanganyiko kwenye matiti kuelekea chuchu za matiti yako mara moja kwa siku.

MATOKEO

  • Siku ya 7 baada ya kutumia dawa hii utapata matokeo mazuri
  • Endelea kutumia dawa yako hadi utakapopata saizi ya matiti uipendayo







Post a Comment

0 Comments