Advertisement

MILIKI2

JIFUNZE KUKUZA MAKALIO KWA NJIA ZA ASILI

 

JIFUNZE KUKUZA MAKALIO KWA NJIA ZA ASILI

Image

Idadi kubwa ya Wanawake Duniani kote hupendelea kutumia muda wao mwingi kujipamba na kujiremba ili waweze kuonekana wenye mvuto kwa wenzi na waume zao, hiyo ni kwa mujibu wa takwimu.


Katika kuzingatia hilo, Daktari bingwa wa tiba za asili na kisunnah Afrika Mashariki na kati, Dokta KASUMBALESA, akaona atafute njia mbadala ya kuwakomboa Wanawake ambao wanatamani kukuza makalio yao kwa njia salama za asili ambazo hazina madhara.

MAHITAJI

  • Soya Milk
  • Karanga zilizosagwa
  • Ndizi zilizoiva
  • Chungwa au Limao

MAANDALIZI

  • Changanya ndizi, karanga zilizosagwa, maziwa ya soya na lima, kisha saga kwa pamoja kwenye kifaa maalum cha kusagia matunda na nafaka maarufu kama BRENDA
  • Baada ya kusaga na kupata mchanganyiko mzuri waweza kunywa. Kunywa kila siku, utaona majibu yake.

MATOKEO

  • Utakuwa na matako makubwa yasiyo na madhara







Post a Comment

0 Comments