Advertisement

MILIKI2

NJIA YA KUONGEZA MATITI, MIGUU,HIPS NA MAKALIO

 JE UNATAKA KUONGEZA MAKALIO?(HIPS, MIGUU au MATITI)??????


🌺NJIA ZA KUONGEZA MATITI, MIGUU, HIPS NA MAKALIO KWA KUTUMIA UWATU



💕KAMA UTATUMIA NJIA MOJAWAPO NAOMBA SOMA VIZURI KWA MAKINI HADI MWISHO BILA KUPUNYUA💕


CHAGUA NJIA MOJA TU👇


❣️YA KWANZA 


🌺MAHITAJI 

👉Unga wa uwatu 

👉Maji


Changanya unga wa uwatu na maji kiasi kinachokutosha siku hiyo na mchanyanyiko usiwe mwepesi sana wala mzito sana then pakaa kwenye sehemu unataka misuli iamshwe iIi pakue kama ni hips, matiti, miguu au makalio na uchue kwa dk 10 then kaa saa 1 au 2 unawe.


Fanya hivi kwa siku ukiweza mara mbili mpaka utakaporidhika na matokeo🌚


❣️NJIA YA PILI❣️


🌺MAHITAJI

👉Unga wa Uwatu (Fenugreek powder)

👉Mafuta ya mzaituni (Olive Oil) 


Chukua unga wa uwatu changanya vizuri na mafuta ya mzaituni kiasi ambacho utaona kitakutosha hadi uone matokeo. Na mchanganyiko hakikisha usiwe mzito sana wala mwepesi sana then weka kwenye chupa kubwa uhifadhi (chupa hata la maji ya uhai tumia😁)


Hiyo chupa weka sehemu nzuri uwe unaitikisa kila asubuhi kwa mda wa wiki mbili na ndo itakuwa tayari kwa matumizi.


🌺MATUMIZI

uwe unapaka na kumassage makalio yako, hips, matiti au miguu yako kila siku kwa mda wa dk 10 uhakikishe imeingia vizuri kwenye ngozi na ukae nayo kwa mda wamasaa 2 unawe na kupaka mafuta ya olive oil hiyo sehemu. 


Hii fanya kwa siku mara 2 kwa matokeo ya haraka na pia hii usilale nayo🌚


❣️NJIA YA TATU❣️


🌺MAHITAJI (Hizo mbegu weka kiasi sawa kitakachokutosha hadi kuona matokeo) 

👉Mbegu za Uwatu

👉Mbegu za Habat Soda

👉Mustard Oil


Weka sufuria kwenye moto wa kawaida then weka mafuta ya Mustard oil kikombe 1 kisha weka mbegu za uwatu na mbegu za habat soda kwenye mafuta na upike kwa dk 15 mpaka 20 kisha ipua uache ipoe. 


Ikipoa chuja mafuta kwenye kichupa cha glass na uwe unahifadhi sehemu nzuri isipigwe na jua. 


🌺MATUMIZI

Uwe unapaka na kumassage vizuri kwa dk 5 au 10 kama ni Miguu, Hips, Matiti au Makalio kila siku (ukiweza tumia mara mbili kwa siku


*UWATU* UNAPATIKANA ZAIDI MADUKA YA SUNNA AU WANAPOUZA DAWA ZA TIBA ASILI



Post a Comment

0 Comments