Advertisement

MILIKI2

TUMIA NYANYA NA SUKARI KUONDOA CHUNUSI NA MADOA USONI

 NYANYA .

Ni tunda na kiungo muhimu katika mboga na mapishi kwa ujumla.

Lakini Leo napenda kuwapa faida za nyanya katika Urembo.

(1)-huondoa cells zilizokufa ktk ngozi.

(2)-huondoa vitundu ktk ngozi ambavyo huonesha muonekano mbaya usoni.

(3)-huondoa harara(chunusi)usoni.

(4)-husaidia ngozi kutozeeka mapema na kufanya ngozi ing'ae na kuvutia.


Jinsi ya kutengeneza .

Kata nyanya mara mbili (katikati),chovya ktk sukari na kusugua taratibu usoni, sugua kwa mzunguko kwa DAKIKA TANO, acha ikae kwa dakika Kumi kisha nawa kwa maji masafi.



Post a Comment

0 Comments