Advertisement

MILIKI2

JE WAJUA SIRI ILIYOJIFICHA KUHUSU UKUAJI WA NYWELE ZAKO?

Mnyonyo au mafuta ya castor oil ndo Siri ya ukuaji wa nywele zako





Mafuta ya castor oil au nyonyo ni mafuta yatokanayo na mmea wa mbarika. ni mafuta ya asili yanayotumika katika shughuli mbalimbali kama kukuza nywele, kuondoa michilizi, husaidia kuotesha kope na kazi nyingine nyingi tu.....

leo tutaongelea faida ya mafuta ya nyonyo katika ukuzaji na uboreshaji wa nywele zako. Hapa tuazungumzia mafuta halisi ya castor oil ambayo yametengenezwa kiasili na hayajachakachuliwa

1. Mafuta ya  nyonyo yanasaidia kukuza nywele. mafuta haya uliyaasha moto na kuwa na joto kiasi, ukiyapaka kichwani na kuyamassage  kwa kuyasambaza kichwan, kwa kufanya hivi japo mara mbili kwa wiki itakupa matokeo mazuri.

2.mafuta haya yanajaza nywele. mafuta ya nyonyo yana uwezo mkubwa a kujaza nywele na kuotesha zaid na haraka kuliko kawaida kwan yana virutubisho kama omega 6 fatty acids ambavyo huongeza virutubisho vinavyongeza afya kwa nywele.

3. Mafuta ya nyonyo hutibu tatizo la mba kichwani.

mafuta haya yana uwezo mkubwa wa kuua vijidudu/ bakteria  mbao huleta matatizo mbalimbali ya nywele na ngozi ya kichwa.

4. husaidia kung'arisha nywele na kuonekana zenye afya


5. Pia hutumika kama 
conditioner au huweza kutumiwa kuchanganya na steaming na ukapaka kichwan na kuzifanya nywele zako kuwa imara zaidi

Post a Comment

0 Comments