Advertisement

MILIKI2

JINSI YA KUREFUSHA KUCHA NA KUZIFANYA ZIWE NGUMU KWA NJIA YA ASILI

Baadhi  ya  wanawake  hupenda  kuwa  na  kucha  ndefu  na ngumu  lakini  hawajui  wafanye  nini.



Unaweza  kurefusha  kucha  zako na  kuzifanya  kuwa  ngumu   kwa     njia  ya  asili  kwa  kufuata  maelekezo  yafuatayo :-
{ASALI+NDIMU/LIMAO+MAJI YA UVUGUVUGU}

Chukua  maji  ya  vuguvugu  kiasi  cha  nusu  lita, halafu  ndani  yake  tia  asali  vijiko  vikubwa  viwili  na ndimu  mbili...  kisha loweka  mikono  yako  humo  kwa  dakika  tano  hadi  kumi. 
Fanya hivyo  mara  moja  kila  siku  kwa  muda  wa  siku  thelathini  na  utapata  matokeo  mazuri  sana👍


Pia waweza tazama mitindo ya kuwasuka watoto 👇👇👇



Post a Comment

0 Comments