Advertisement

MILIKI2

JINSI YA KUFUNGA MKIA WA FARASI NDANI YA DAKIKA 5 ( HOW TO PONYTAIL YOUR HAIR IN 5 MINUTES )

JINSI YA KUBANA MKIA WA FARASI
Hii staili ni nzur sanaa enzi zetu tulikuwa tunaiita KI JUMONG🤣🤣🤣
Watoto wa juzi hamuwezi mkanielewa🤣🤣🤣 hebu niambie kwenu mnaiitaje
Any way sikuizi inaitwa MKIA WA FARASI
✔️Stail hii ni nzuri unaweza kujibana mwenyewe nyumbani na ukadamshiiii
✔️Staili hii inafaa nywele aina zote hata kama hazina dawa
✔️Hii nywele unaweza bana ukakaa wiki nzima bila kufumka
✔️Hii nywele unaweza bana hata mtoto mana haiumi
GUSA LINK KUANGALIA VIDEO JINSI YA KUBANA MKIA WA FARASI👇👇

YOUTUBE NATUMIA UREMBO NA PRINCES ZEY

Post a Comment

0 Comments